Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa ambaye ni msuluhishi katika mgogoro wa kisiasa nchini Burundi anatarajia kuwasilisha ripoti ya mazungumzo kuhusu mgogoro huo baada ya kumaliza kusikiliza pande zinazovutana nchini humo.
Akizungumza na waandishi wa habari Mshauri Mkuu David Kapya amesema Rais Mstaafu Mkapa atamkabidhi ripoti Rais wa Uganda Yoweri Museveni ili kuendelea na hatua nyingine.
MAGAZETI LIVE: Kutekwa MO DEWJI kulivyobadili upepo, Bila nguvu ya Umma MO angeuawa