Leo September 8, 2018 Baadhi ya wananchi wanaodaiwa kumiliki mashamba katika Kata ya Ambureni wilayani Arumeru wamemtuhumu Diwani wa Kata hiyo kuhusika kukata migomba yao chini huku Diwani huyo akidai wananchi hao waliambiwa waondoke lakini wakakaidi huku eneo hilo likitakiwa kwa ajili ya ujenzi wa shule.
RC Mbeya amkabidhi Madaraka yake Afande “Rais ameleta Maafande Wakurugenzi kuna jambo”