Nchini Afrika Kusini kuna machafuko na vurugu ambazo zinaendelea kutoka kwa wenyeji wnawapiga, kuwaibia na kuwachoma moto wageni na raia ambao sio wa nchi hiyo.
Afrika Kusini ina idadi ya wahamiaji wapatao Milioni 2.3, kutokea mataifa mbalimbali ikiwemo China, India, Marekani na watu wa mashariki ya kati kutokea bara la Ulaya.
Hii ni orodha ya Mastaa ambao wameandika kupitia mitandao ya kijamii kwa kuonyesha kuguswa na hali inayoendelea nchini humo.