Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hivi karibuni kumuachia huru kupitia kifungu cha sheria cha 225 cha Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Msanii Wema Sepetu kisha kukamatwa tena. Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi amefafanua kuhusu matumizi ya sheria hiyo.