Leo September 6, 2018 Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai, amethibitisha pamoja na Wenyeviti hao wamezungumza na Waandishi wa habari kueleza sababu za kujiuzulu.
“Waziri Lugola mkamateni huyu mpaka aseme hela kaweka wapi” Rais Magufuli aamuru