Leo August 29, 2018 Kutoka mkoani Kagera stori kubwa ni kumhusu Mwanafunzi aliechapwa viboko na Mwalimu wake hadi kufariki akihisiwa kaiba mkoba wa Mwalimu kitu ambacho Wanafunzi wengine wanasema si kweli.
Sasa leo utata umeibuka baada ya Wazazi kupewa taarifa na Mganga Mfawidhi kuwa Mwanafunzi huyo alikuwa na majeraha mengine mwili tofauti na aliyoyapata siku anayochapwa hadi umauti kumkuta.
CCM WAMELIANZISHA MONDULI: “Watakuja Wabunge 16, ilani yao ipo website” Mangula