Leo August 22, 2019 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Maziwa Tanzania, kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wa Bodi hiyo.