Meneja wa Mawasiliano wa WWF kwa Tanzania, Joaneth Hanisa anasema ripoti iliyozinduliwa inaonyesha asilimia zaidi ya 60 ya wanyama pori wametoweka kwasababu ya shughuli mbalimbali za binadamu na utafiti umefanyika katika nchi zidi ya 60.
Joaneth Hanisa amesema ulaji wa wanyama pori kwa Tanzania hali bado haijawa mbaya sababu wanyama pori Tanzania hawaliwi kiholela na wapo wanyama maaalum ambao wanawindwa kwa kuliwa na wanawindwa kwa vibali maalum na ukikamatwa unawinda bila kibali ni kosa kisheria.