Leo October 27, 2018 Mtoto jasiri Anthony Petro aliyemshtaki baba yake kwa kutaka kuuza shamba anafundisha na kuzungumza Kiingereza baada ya kuanza shule kwa miezi sita katika shule ya Aman Vumwe iliyopo Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Mtoto Anthony amekuwa akiwafundisha wenzie pale anapopata muda wa ziada, Mwalimu wake anajivunia kuona mabadiliko ya mtoto aliempokea akiwa hajui kuandika wala kuzungumza Kiingereza.
Sifa ya Vitenge vya Kigoma toka Congo, kipo cha Bei ghali zaidi TZ