Mbunge Goodluck Mlinga akichangia mada Bungeni leo “Ndege yetu ilikamwatwa huko Afrika kusini kwa amri ya Mahakama, sharti la kuachiwa ndege hiyo lilikuwa Serikali ilimpe Bwana Steyn zaidi ya Billion 70 za kitanzania, kwa wasioijua Billion 70, tungejenga vituo zaidi ya 150 vya afya, Hospitali zaidi ya 40 za wilaya, ambulance zaidi ya 500, viwanda vidogovidogo na vya kati zaidi ya 3000″.