Leo May 21, 2018 Waziri wa Viwanda na Uwekezaji, Charles Mwijage amewaondolewa wasiwasi wafanyabiashara pamoja na wawekezaji juu ya changamoto ya vikwazo mbalimbali walivyokuwa wanakumbana navyo wakiwa katika shughuli zao.
Ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi katika mahafali ya kuhitimu kidato cha sita kwa wanafunzi wa shule za Kaizirege na Kembos zilizopo Kagera ambapo alikuwa mgeni rasmi.
MILIONI 100 kulipwa aliyepasuliwa kichwa badala mguu