Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti leo December 20, 2018 amezindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho kwa Wafanyabiashara wadogowadogo ikiwa ni sambamba na kutoa maagizo makali kwa Wafanyabiashara.
RC Gugati amesema kuwa kuna baadhi ya watumishi washaanza kuweka njama ya kuhujumu mpango huo kwa kuongeza kiasi cha hela, ambapo amewapa onyo na kutoa maagizo ya Serikali.
MBINU MPYA KUMALIZA TATIZO LA KAHAWA, NAIBU WAZIRI AITANGAZA