Baada ya Taarifa kusambaa mtandaoni zikidai kuwa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imepanga kutoa vibali kwa mabasi ya mikoani kufanya safari mchana na usiku (saa 24).
Leo January 8, 2017 AyoTV imempata Mkurugenzi wa SUMATRA, JOHANSEN KAHATANO ambae ametoa huu ufafanuzi kuhusu kutoa vibali hivyo.
VIDEO: ILICHOKISEMA BODI YA MIKOPO BAADA YA KUZUIWA KUFANYA UKAGUZI LEO