Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Walter Reed Medical Center.
Stephanie Grisham ambaye ni Msemaji wa Melania, amesema upasuji huo umekuwa wenye mafaninikio makubwa na hakukuwa na matatizo yoyote yaliyojitokeza.
Kupitia ukurasa wake wa twitter Rais Trump amethibitisha huku akiwashukuru wote waliokuwa wakimuombea mkewe.