Leo June 1, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Prof. Andrew Barnabas Pembe kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili(MUHAS)
Kabla ya Uteuzi huu Prof. Pembe alikuwa Mhadhiri na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo hicho anayeshughulikia taaluma, utafiti na ushauri
Uteuzi huu wa Prof. Pembe umeanza leo June 1, 2018