Meya wa Jiji la DSM Isaya Mwita amesema kuwa hajazuiwa kusafiri kwenda nchini India bali kuna mambo yamejitokeza yakasababisha ashindwe kusafiri kwenda nchini humo kutokana na mtu aliyesimamia safari yao kusitisha tiketi zao.
Meya Mwita amesema lengo la kwenda India ni kutaka kutembelea kiwanda cha utengenezaji wa mabasi ya shule, hivyo kwa sasa wanaangalia utaratibu wa kwenda tena lakini hawajazuiwa.
POLISI WALIVYOWADHIBITI WANACHAMA WA CHADEMA MAHAKAMA KUU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA