Leo September 23, 2018 RC Mwanza Mongella ameeleza kuwa wataalamu wa uokoaji waliokuwa wanaendesha zoezi hilo walishauri zoezi lisitishwe hadi kesho yake asubuhi. Kutokana na kile walichodai ni hali mbaya iliyoanza kujitokeza chini ya maji usiku ule.
“Nisingeweza kutumia kofia yangu ya ukuu wa Mkoa na msimamizi wa zoezi la uokoaji kulazimisha waendelee kuzama, kwa sababu uamuzi huo ungeweza kuongeza madhara zaidi ikiwemo kuwapoteza wataalamu na kuongeza matatizo zaidi”- RC Mongella
BREAKING: Tazama Fundi Mkuu wa MV. Nyerere ameokolewa akiwa HAI
Rais Magufuli “Jumatatu kazini kama kawa, Sijasema MPUMZIKE ni MUOMBOLEZE”