Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dr. Hamis Kigwangalla ametaja sababu za kujibizana na kupangua hoja zinazojengwa na watu kwenye mitandao ya kijamii hasa kwenye kurasa zake.
“Napenda kuzungumza ninavyojisikia na ninapozungumza na wananchi wenzangu kwenye mitandao ya kijamii ndio raha ya maisha yangu mimi siishi maaisha feki mfano ukija vibaya vibaya naweza kukupiga vilevile, wengine wanaona kama vile haipaswi Kiongozi mkubwa wa Serikali kumshambulia mwananchi” Waziri Kigwangalla
https://youtu.be/FbQlFJeGal0
KIGWANGALLA AMLILIA DR. MENGI “FUNZO KUBWA AMETOA BILIONEA”