Leo June 1, 2018 kuna hii ya kuifahamu kutoka kwa Wataalamu wa sayansi ya mifugo mkoani Mtwara ambapo wameombwa watafute mbegu nzuri ya Panya watakaokuwa wakitumika kwa kitoweo.
Mapendekezo hayo yametolewa kutokana kitoweo cha Panya kupendelewa zaidi mkoani kwa kuwa wanaprotini nyingi.
Protini inayopatikana kwa Panya imeelezwa kuwa ni muhimu kwa wazee na watu waliodhoofika kwa magonjwa mbalimbali.
Watu Wilaya ya Masasi hutafuta Panya kwa hali na mali kwani mbali ya kuwa ni kitoweo lakini pia hujiajiri katika biashara ya uuzaji wa kitoweo hicho.
Matokeo ya Mtoto aliyemshtaki Baba yake yametoka, anazungumza Kiingereza