Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam inatarajia kusikiliza Rufaa ya Mwwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko saa 8 mchana, ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezuiwa kumpa mkono Mbowe mahakamani.
VIDEO: MBOWE NA MATIKO WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMA KUU KUJUA HATIMA YAO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA