AyoTV na millardayo.com imempata Dereva Hurbet Makundi ambaye ni dereva pekee mwenye uwezo wa kuliendesha gari la Mwalimu Nyerere ambalo lililtumika Miaka 1954 ambapo anatueleza kuwa walilikuta gari hilo katika Ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro.
Makundi anatueleza tofauti ya gari hilo la zamani na magari ya sasa ambapo moja ya kitu alichoeleza ni uwepo wa Engine katika sehemu ya mbele ya ukalia.
Mbunge aliepiga magoti Jimboni, afunguka mafanikio ya Miaka Mitatu