Leo September 7, 2018 Mwinjilist wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania katika Usharika wa Ngateu Wilayani Arumeru mkoani Arusha amefukuzwa kwenye mkutano mkuu wa kijiji baada ya kuwatuhumu baadhi ya wananchi kuhusika kupokea rushwa ili kuruhusu shughuli za machinjio ya Nguruwe katika makazi yao watu.