Leo November 2, 2018 Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM akitokea Kituo cha Polisi Mburahati mchana huu nakusomewa mashtaka yake.
Zitto Kabwe amesomewa mashtaka 3 ya kutoa maneno ya uchochezi yenye nia ya kuleta chuki kwa Watanzania dhidi ya Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Zitto amekana makosa amesema si kweli.