Mbunge wa Kigoma kusini Hasna Mwilima ametumia nafasi yake ya kuchangia mpango wa maendeleo 2019/20 ambapo amelieleza Bunge kuhusu matukio ya Askari kuchinjwa na wananchi kuuawa kiholela katika wilaya ya Uvinza mkoani humo.
Duuh! Unaambiwa baridi ya Mbeya ni fursa tosha, “Tumsaidie Rais Magufuli”