Leo July 23, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Mgaufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee-yeon kesho July 23, 2018 wameshuhudia utiaji saini mkataba wa ujezni wa daraja jipya la Selander DSM.
Nimekusogezea baadhi ya mambo ambayo Rais Magufuli amezungumza Ikulu mbele ya Waziri Mkuu wa Korea .
Jambo la kwanza ni ishu ya kuweza kupata mkopo “Serikali ya Jamhuri ya Korea itatafakari kama itaweza kutupa mkopo tujenge daraja la Kilometa tatu eneo la Kigongo na Busisi” Rais Magufuli
“Serikali ya Jamhuri ya Korea itatafakari kama itaweza kutupa mkopo tujenge daraja la Kilometa tatu eneo la Kigongo na Busisi” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/NWaqfZKVwN
— millardayo (@millardayo_) July 23, 2018
Jambo la Pili ni urefu wa Daraja litakalojengwa “Urefu wa daraja hili ni kilomita 1.03 na linauwezo wa kupitisha zaidi ya magari elfu 50 kwa siku, tukiwa na lengo la kupunguza foleni DSM” Rais Magufuli
“Urefu wa daraja hili ni kilomita 1.03 na linauwezo wa kupitisha zaidi ya magari elfu 50 kwa siku, tukiwa na lengo la kupunguza foleni DSM” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/Xobx6JMiP9
— millardayo (@millardayo_) July 23, 2018
Jambo la Tatu “Nina uhakika sasa watani zangu Wazaramo watakuwa na maeneo mengi ya kupiga picha na kufungia ndoa” Rais Magufuli
“Nina uhakika sasa watani zangu Wazaramo watakuwa na maeneo mengi ya kupiga picha na kufungia ndoa” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/4Al5A08G39
— millardayo (@millardayo_) July 23, 2018
Jambo la Nne “Hivi karibuni tutasaini mkataba mwingine wa ujenzi wa Meli kubwa katika Ziwa Victoria, ambapo Contractor anayeelekea kushinda anatoka Korea Kusini” Rais Magufuli
“Hivi karibuni tutasaini mkataba mwingine wa ujenzi wa Meli kubwa katika Ziwa Victoria, ambapo Contractor anayeelekea kushinda anatoka Korea Kusini” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/LTt2n5ED3b
— millardayo (@millardayo_) July 23, 2018
Jambo la Tano “Tunazungumza pia na Wakorea ili wakiweza wajiunge kutukopesha kujenga vipande vilivyobaki vya SGR, fedha za kulipa tunazo” Rais Magufuli
“Tunazungumza pia na Wakorea ili wakiweza wajiunge kutukopesha kujenga vipande vilivyobaki vya SGR, fedha za kulipa tunazo” Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/BWIARRvcNe
— millardayo (@millardayo_) July 23, 2018
LIVE: Rais Magufuli anazungumza baada ya utiaji saini ujenzi Daraja Selander