Wanasayansi wameonya kuwa kiwango cha ubora wa mbegu za kiume, shahawa huko Marekani na Barani Ulaya kwa jumla, kimeshuka kwa kasi mno, kwa sababu wanaume wanakula vyakula vyenye mafuta mengi kwa wingi , na kukosa kufanya mazoezi.
Utafiti huu uliowasilishwa, katika kongamano la kila mwaka la mpango wa matibabu ya uzazi, unaonyesha kushuka kwa kasi kwa idadi ya mbegu bora na uwezo wa hizo zilizo bora kutungisha mimba.
Utafiti huu umeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wanasayansi wa afya ya uzazi. SWALI:
Baada ya kusoma Utafiti huu utaendela kula vyakula vilivyokaangwa kwa mafuta mengi kama chips mayai ama utaanza kula vyakula vya asili ?
AyoTV imempata Daktari Heri Tungaraza ambaye ametuelezea kiundani kuhusiana na mijadala hiyo.
TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE