Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenl. Marco Gaguti ameeleza alivyopokea taarifa za uteuzi wa Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa TAKUKURU ambaye alikuwa Katibu tawala wa Mkoa huo, huku akifafanua jinsi ilivyokuwa siku ya uteuzi wa Mkurugenzi huyo.
RC Gaguti amesema alipokea kwa masikitiko taarifa za uteuzi wa Diwani sababu ni mtu walieshirikiana nae vizuri ila hana budi sababu wote wana watumikia wananchi.
“Someni alama za nyakati Nchi hii sio salama kwa wala rushwa” Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU