Leo September 27, 2018 ni siku ya 8, tangu kuzama kwa Kivuko cha Mv. Nyerere na hadi leo ni siku 4, tangu zoezi la kukinasua Kivuko kutoka ndani ya maji lianze linaongozwa na Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo.
Hii hapa ni video inayoonesha jinsi Kivuko cha Mv. Nyerere kinavyotolewa majini na kusimama tena.