Leo September 25, 2018 Kutoka Ukara ninaye Mzee Matindo Mabele ambaye ameutambua mwili wa mke wake kwa kukariri nguo alizotoka nazo mke wake nyumbani ambapo alikuwa Ukerewe akimuuguza Mama yake.
Mabele baada ya kutambua akapelekwa kwenye Kaburi la mkewe ambaye alizikwa baada ya kushindwa kutambuliwa na familia yake.