Serikali ya Uingereza imesema kuanzishwa kwa safari ya ndege za Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) moja kwa moja kati ya nchi hizo mbili ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa pande zote na hatua hiyo itaimarisha uhusiano wa muda mrefu wa nchi hizo mbili.
WAMBURA KUSOTA RUMANDE, “WASHTAKI WANAELEZA MANENO MATAMU”