Leo November 2, 2018 kuna hii taarifa kutoka nchini Afrika ya Kusini ambapo tunaambiwa Mtalaka wa Reginald Mengi ambaye ndiye aliyekuwa Mke wake wa kwanza, Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa kumkia November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside iliyopo Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu.
Inaelezwa kuwa Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Familia iko katika hatua za kusafirisha Mwili.
Hatari ya Ushoga: Kutokwa na Kinyesi, UKIMWI, kushindwa kujifungua, UTI isyoisha