Watuhumiwa watatu wa kesi ya kukata koromeo wananchi wa Mkoa wa Kagera leo wamefikishwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo ambapo matukio hayo yalifanyika mwaka 2015.
Nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba Wakili wa Serikali Mkuu Hashimu Ngole ameeleza kwa kina kesi inayowakabili ikiwa ni sambamba na kuelezea hukumu ya maisha ambayo ilishatolewa dhidi yao.
Achana na Njombe Mbeya yameibuka mapya kubaka utajirike (+video)