Ofisi ya Mstaafu Kikwete imetoa masikitiko juu ya upotoshwaji kuhusu hotuba aliyoitoa kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere “Hakuzungumzia mwingine zaidi ya Mwl. Nyerere na hakufanya ulinganifu kati ya Mwl. Nyerere na Marais waliofuata, waliostaafu na waliopo”.
DIRECTOR ASIMULIA ALIVYOPATA VIDONDA AKIWA NA GABO, WASTARA NA MAREHEMU SAJUKI, “NIMETESEKA”