Ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kulifufua Shirika la Ndege la Tanzania kukidhi safari za ndani na pia kupata Watalii wengi kwa Nchi kuwa na Ndege zinazofanya safari zake moja kwa moja kutoka mataifa mengine.
Alianza kwa kununua Ndege aina ya Bombadier kisha akanunua nyingine kubwa ya Dreamliner na sasa kachukua nyingine ambapo kampuni ya kutengeneza Ndege ya Canada ya Airbus imeitambulisha Ndege hiyo mpya ambayo ni A220.
Kampuni hiyo ya Airbus imesema Ndege hiyo inaelezwa kuwa ndio itakuwa Ndege ya kwanza ya aina hiyo kufanyia safari zake kwenye Bara la Afrika.
MKE WA RC WA ‘SUKUMIA NDANI’ AELEZA MENGI TUSIYOYAJUA “SI MVUMILIVU, ANASAIDIA KWENDA MBINGUNI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAMA
SERIKALI YAZUNGUMZIA TENA KUTUMIA WANAJESHI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA