Leo October 8, 2018 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechangia shilingi Milioni 125, kwa ajili ya ajali ya MV Nyerere iliyotokea September 20 mwaka huu.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Gerson Msigwa amesema Balozi wa Kenya nchini Dkt. Dan Kazungu awasilisha hundi kwa Rais Magufuli.
DIWANI CHADEMA: Kakaa Jela Miezi 10 kafunguka ”Nilionewa”, Bonyeza play hapa chini kutazama