Leo December 7, 2018 nakukutanisha na Mzee Hamis Said Mohamed ambaye alikuwa Mwanajeshi na alishiriki katika Vita ya Kagera ya kumuondoa Nduli Idi Amin anafunguka sababu iliyomfanya akimbie Jeshi na kuwa Mvuvi.
Mzee Hamis anakuambia “Nilikuwa kambi ya JWTZ Unguja wa miaka 17 niliacha kazi kwa matatizo yaliyotokea, tulirudi toka Vitani halafu tukaambiwa ‘asante’, nikawa Fundi baadae nikawa Mvuvi”
MAAJABU TANGA MAJI YANAYOCHEMKA, USHIRIKINA WATAWALA | NG’OMBE ZACHINJWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA