Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji akiwa mkoani Dodoma kwenye uzinduzi wa Siku ya Takwimu Afrika ametoa onyo kwa watu wote wanaopotosha jamii juu ya maudhui ya Sheria za Takwimu.
Dr. Ashatu amewataka watu wote wenye pingamizi za Sheria hizo kuwasilisha mahali husika mapendekezo yao ili yaweze kufanyiwa marekebisho na sio kuendelea kupotosha.
“KAMANDA UKIPETIPETI MAJAMBAZI NA KUWASHIKA NDEVU HUTUFAI” LUGOLA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
AIRBUS CANADA WASEMA HII NDIO NDEGE MPYA YA TANZANIA, YA KWANZA AFRIKA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA