Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefanya ziara katika Wilaya ya Kyerwa Mkoani humo na kukuta changamoto ya Zahanati ambapo Mradi huo umeshindwa kukamilika na ilianza kujengwa kwa nguvu za wananchi tangu mwaka 2008,
RC Gaguti amewataka Viongozi na Wananchi kuhakikisha kabla ya mwaka mpya Zahanti hiyo iwe imekamilika.
UHURU KENYATTA MBELE YA JPM: “TUNATAKA MFANYE BIASHARA YA HAKI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA