Leo November 12, 2018 Mdau wa Maendeleo katika Jiji la Mbeya Ndelle Mwaselela ameongea na Vijana juu fursa zinazopatikana katika mkoa wa Mbeya ambapo amesema hali ya hewa peke yake ni fursa kwa mtu ambaye yupo tayari kuitumia.
Mwaselela amesema kwa kufanya biashara zinazoendana na hali ya hewa kama kuuza makoti, uji kunaweza kumfanya mtu kuwa tajiri, hivyo vijana wamsaidie Rais Magufuli kuipeleka nchini mbele mana peke yake hawezi.