Leo September 17,2018 washtakiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Kibeta iliyopo Bukoba mkoani Kagera wamefikishwa tena mahakamani ambapo kesi yao imeamuriwa kupelekwa Mahakama Kuu, huku upande wa mashtaka wakiwa na mashahidi 25, washitakiwa wameahidi kuleta mashahidi.
Washtakiwa hao wamerudishwa rumande mpaka itakapotajwa tarehe ya kupelekwa Mahakama Kuu.
HATARI: Video Live kutoka China Kimbunga kinaang’amiza, Mtanzania amezungumza