Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ametoa kauli juu ya suala la kuwa na bei elekezi kwa gharama za matibabu katika Hospitali na Vituo vyote vya Tiba vya binafsi ili kusaidia watu wa kipato cha chini kutibiwa popote walipo.
Dr. Ndugulile >>> “sio kusudii la Serikali kuwa na bei sawa bali kinacholengwa ni kwamba baadhi ya Hospitali za binafsi zimeshindwa kutoa huduma za dharura pale inapotokea majanga huku Hospitali nyingi zikiwa za kibiashara zaidi kuliko kutoa huduma”
AIRBUS CANADA WASEMA HII NDIO NDEGE MPYA YA TANZANIA, YA KWANZA AFRIKA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
FULL VIDEO: MBOWE NA MATIKO WAKIPELEKWA GEREZANI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA