Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Patrobas Katambi amefanya operation ya kushtukiza katika maeneo ya katikati ya jiji hilo ambapo amebaini na kuwakamata vijana wanaotumia dawa za kulevya ikiwemo watoto watoto wenye chini ya miaka 18.
Duuh! Unaambiwa baridi ya Mbeya ni fursa tosha, “Tumsaidie Rais Magufuli”