Taaisis ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Arusha kupitia kwa Naibu Frida Wikesy imewatia matatani watumishi wa serikali waliotaka kujilipa fedha zaidi katika maonyesho ya Nanenane yaliyofanyika Arusha huku taasisi hiyo ikisema watumishi hao wamekabidhiwa kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya hatua zaidi.