Leo July 25, 2018 Waziri wa Mambo ya ndani Kangi Lugola ameagiza askari ambao hawataki kufanya kazi wasukumwe na kama hawataki watachukuliwa hatua huku akikitaka Kikosi cha Zimamoto kufanya kazi hata kama hawana vifaa.