Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamishna wa Operation na Mafunzo wa Jeshi hilo Tanzania Liberatus Sabas linaendelea na Operation kwa Mikoa ya Kagera, Kigoma na Geita kwa ajili ya kukomesha vitendo vya uhalifu katika maeneo hayo.
Kamishna Sabas ametaja idadi ya majambazi waliouawa Mkoani Kagera Wilaya ya Biharamulo baada ya majibizano ya risasi na Polisi waliokuwa doria.
MWALIMU APIGWA NA MWANFUNZI MVUTA BANGI WAZIRI ASHUSHA RUNGU