Mahakama ya Mkoa wa Iringa imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia dhidi ya makosa yake mawili aliyokuwa akishtakiwa.
Nondo alikuwa akikabiliwa na makosa mawili moja la kutoa taarifa za uongo kwa kudanganya kama alitekwa akiwa jijini DSM na baadaye kukutwa Mkoani Iringa.
Nondo alikuwa akitetewa na Wakili wa Jebra Kambole kwa kushirikiana na mawakili kutoka kituo cha Haki za binadamu na mtandao wake wanafunzi ambapo katika uamuzi huo mahakama ilimkuta Nondo hana hatia na kuamuru aachiwe huru.
LIVE MAGAZETI: Serikali yamruka Makonda, Miaka mitatu ya JPM malalamiko kibao