Leo May 25, 2018 Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga amesimama bungeni akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka 2017/18.
Kitwanga alizungumzia kuhusu Serikali ya Viwanda bila kuwa na Umeme na kufananisha na binadamu kuishi bila kuwa na hewa.