Taarifa kutoka Hospitali ya Wilaya Igunga Mkoa wa Tabora walipopokelewa majeruhi wa ajali iliyotokea Julai 08,2019 katika eneo la Malendi, katikati ya Igunga Mkoani Tabora na Shelui Mkoani Singida ambapo basi aina ya Coaster lililowabeba wafanyakazi wanane wa Azam Media Limited likielekea Mwanza limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo lililokuwa linakwenda Dar es Salaam.
Mganga Mfawidhi wa hospital hiyo Dr. Merichades Magengo akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wametembelea wodi walipolala majeruhi na kupokea taarifa za majeruhi hao.
KUKAA MIAKA MITATU OFISINI SIO KIGEZO CHA KUPANDISHWA CHEO