Leo June 30, 2018 ninayo Exclusive story kutokea kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya na Akili, Profesa Sylvia Kaaya ambaye ametunukiwa PhD nchini Marekani.
Prof. Kaaya ambaye anatokea Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), amefafanua kwa mapana yake kwa ambavyo ugonjwa wa UKIMWI kuwa kisababishi kikubwa dhidi ya ugonjwa wa akili.