May 21, kila Mwaka huwa tunawakumbuka ndugu, jamaa na marafiki waliopeteza maisha zaidi ya 1000, kwenye ajali ya Meli ya MV, Bukoba, leo ni Miaka 22, tangu tukio hilo litokee, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ameungana na Ndugu na waombolezaji kufanya ibada kwenye Makaburi ya Igoma kuwaombea Marehemu.
Medard Selestine ni mmoja kati ya walionusurika kwenye hiyo ajali 1996, kuna vitu hawezi kuvisahau.